" Ni vizuri kusherekea mafanikio lakini ni muhimu zaidi kujifunza katika kushindwa" Bill Gates
" Kanuni ya dhahabu kwa kila mfanya biashara ni hii: " Jiweke mwenyewe kwenye nafasi ya mteja wako" Orison Swett Marden
" Ubunifu unamtofautisha kiongozi na Mfuasi"Steve Jobs
" Kama unataka kufanikiwa, ni jambo rahisi. Fahamu unafanya nini. Penda kile unachokifanya. Amini katika kile unachokifanya."Will Rogers
"Rafiki zako hawatakusaidia mpaka wageni watakapoanza kukushangilia" Adillaresh.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni