Igin John Soka, Ni Mchungaji, Mwalimu, Mwanamaombi, Mmishenari, Mwanazuoni na Mhariri wa vitabu. Amehitimu Shahada ya uzamili(Masters) katika Utume(Major- Islamic Studies, Minor -Social Anthropology and Intrepreneurship)kutoka Adventist University of Africa, Kenya(2011-2015) na shahada ya kwanza(Bachelor of Arts in Theology) kutoka University of Eastern Africa Baraton, Kenya(2002-2006). Mwaka 2006 alijiunga rasmi na timu ya wanazuoni na wahubiri wa Mashariki na kati wa Africa;Amekuwa ni Mkufunzi na mhubiri wa masomo ya tafakari juu ya imani akitumia Biblia na Q'uran, Masomo ya kukua katika imani pamoja na Ujasiliamali katika Utume. Ame shikikilia nyadhifa mbalimbali katika kanisa la waadventista wa sabato akiwa Mchungaji wa wilaya miaka 14, Mkurugenzi wa idara ya Mawasiliano(2011), Uwakili na Amana (2012), Huduma Binafsi, Global Mission, Shule ya sabato na Adventist Muslim Relations(2013-2015) kanda ya kaskazini mashariki mwa Tanzania. Kwa sasa ni Mhadhiri (Lecturer) katika chuo kikuu cha Arusha.(2017. . .)


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni